Mlimani City na Mikocheni
kukukuku
Kuku wa kuchoma, mihogo ya moto na DJ akipiga. Kiota cha kuku, by Samaki Samaki.
Mlango uko wazi
Karibu
KukuKuku.
Kila siku kuanzia saa 6 mchana mpaka saa 3 usiku. Huna haja ya kubook, njoo tu.
Kwenye uwanja
Taa elfu
juu ya kichwa.
Meza za mbao, anga la taa ndogo, na harufu ya pilau ikitoka jikoni.
Sogeza kipanya kuangalia pembeni. Bonyeza sahani kuiona.Telezesha kidole pembeni kuangalia. Gusa sahani.
Kwa kundi lako
Tengeneza
sinia lako.
Chagua wali, kitoweo na ziada. Bei inajihesabu yenyewe, kisha tuma oda kwa WhatsApp.
Kutoka Google
Wateja
wanasema.
“I recently had the pleasure of dining at Kukukuku with a friend, and I must say that it was one of the most enjoyable dining experiences I've had in a long time.”
“The portions here are ridiculous. I visited here with my family.”
Kutoka kwa wageni wetu, kupitia kadi za mezani
Umefurahia chakula?
Tuachie
nyota tano.
Scan kwa simu yako ukiwa mezani. Inachukua sekunde 20 na inawasaidia wengine kutupata.
Andika maoni Google
Sherehe, kikao, birthday
Hifadhi meza.
Tuambie siku, saa na idadi ya watu. Tutakuthibitishia kwa WhatsApp ndani ya dakika chache.
@kukukuku_tz
Tufuate InstagramTembelea
Tupo
Mlimani City.
- Mahali
- Mlimani Tower, Mlimani City Shopping Mall, Dar es Salaam
- Saa za kazi
- Kila siku kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 6 usiku.
- Simu
- 0673 686 814, 0671 719 719
- Delivery
- 0789 286 061
Bolt au Uber: andika KUKUKUKU MLIMANI CITY